Videos

MUSIC VIDEO: Ngoma mpya ya msanii kutoka Nigeria Akaycentric – Wait

Msanii wa muziki kutoka nchini Nigeria Akinola Olumuyiwa alimaarufu Akaycentric, ambaye ni kati ya wasanii kutoka nchini Nigeria wanaofanya vizuri kwa sasa ameachia video ya wimbo wake unaojulikana kwa jina la “Wait”.

Msanii huyu ambaye alizaliwa katika mji wa Benin City, mbali na kufanya muziki lakini pia ni mwandishi mzuri wa mashairi lakini pia ni Mjasiriamali.

Licha ya kufanya ngoma ya Wait, pia alishawahi kutoa ngoma kama Mamma mia na Lost.

Wimbo wake wa Wait ameufanyia kwa Producer,Delb kutoka shot at the Little Rock, California na Director wa ngoma hii akiwa ni Emmanuel Fordjour kutoka Monkey Media House

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents