Muziki
Muziki: Jay Rock ft Kendrick Lamar, Future & James Blake – King’s Dead
Mwanamuziki Jay Rock ameachia ngoma yake mpya ‘King’s Dead’ akishirikiana na Kendrick Lamar, Future na James Blake, ngoma hii inapatikana katika albamu yake mpya Black Panther.