Habari

Lowassa adai aliitwa Ikulu na Rais Magufuli akimtaka kurudi CCM ila alikataa

Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasiana na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Edward Lowassa amesema kuwa alikwenda Ikulu baada ya kuitwa na Rais John Pombe Magufuli akimtaka arudi CCM lakini alimjibu kuhama kwake hakubahatisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents