Habari

Mwanza: Bweni la shule ya Bwiru Boys lateketea 

Bweni la shule ya sekondari ya wavulana ya Bwiru iliyopo wilayani Ilemela Mkoa wa Mwanza lililokuwa likitumiwa na wanafunzi 70, limeteketea kwa moto.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo wakati wanafunzi wakiwa madarasani wakijisomea.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa, serikali itahakikisha wanafunzi ambao vifaa vyao vimeteketea kwa moto wanapatiwa vifaa vingine ili waendelee na masomo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents