Habari

Mwigulu Nchemba: Wafanyabiashara rudisheni pesa zenu benki huko zitaliwa na mchwa (+ Video)

Waziri wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba amekutana na viongozi wa juu wa wizara hiyo na taasisi zilizo chini yake ikiwa ni utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Taasisi hizo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Msajili wa Hazina (TR).

“Kwa wale Wafanyabiashara ambao walishaanza kuona nikiweka hela yangu ikaonekana mtandaoni labda itachukuliwa yote, nitoe rai warudishe tu fedha zao kwenye mabenki, sisi tutachukua zile tu ambazo zinatuhusu  wakiendelea kuziweka huko zitaliwa mchwa huko na panya bila sababu,”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents