Burudani

Mwijaku awaomba msamaha Diamond na Tanasha kwa kusema mtoto wao ni wake – Video

Msanii wa Bongo movie na Mtangzaji wa Clouds plus @mwijaku ameamua kutoa ufafanuzi baada ya kusema mtoto wa @diamondplatnumz na @tanashadonna ni mtoto wake.
Hii inakuja baada ya @tanashadonna kudai kumpelekea Mahakamani @mwijaku kuhusu kauli hiyo.

https://www.youtube.com/watch?v=yA2pUcIzCfg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents