Michezo

Mwinyi Zahera afunguka baada ya mechi na Misri ’Tukitolewa Afcon nakwenda Ulaya, beki wetu alichelewa kumkaba Mo Salah ndiyo tatizo’ (+Video)

Kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya DR Congo na Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa licha ya kupoteza kwa mabao 2 – 0 dhidi ya Misri lakini wachezaji wake walifanikiwa kufanya vizuri katika kipindi cha kwanza. Zahera ameongeza kuwa mshambuliaji hatari ni Misri na Liverpool Mo Salah alifanikiwa kufunga bao lake kutokana na uzembe wa beki wao na kuongeza kama watatolewa mchezo wa mwisho basi ataelekea barani Ulaya kwa Mke wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents