Habari
Naija Nite 2012 ndani ya Mzalendo Pub Jumamosi hii
Kwa mashabiki wa wasanii kama D’Banj, 2 Face, Flavour, P-Square, Wizkid, Banky W, Davido, Tiwa Savage na wengine wengi wa Nigeria ambao list yake haimaliziki mara moja watakuwa na muda mzuri wa kujirusha na ngoma zao weekend hii.
Ni Jumamosi hii pale Mzalendo Pub Millenium Tower ambapo Flavanite inakuletea Naija Nite 2012.
Muziki utapigwa na madj wakali mjini akiwemo Dj Venture na Dj Mackay.