Burudani

New Music: Bonta Maarifa – Mapenzi Matamu

Baada ya kuwachanganya mashabiki wa hip hop kwa ujumbe wake kuwa anaachana na muziki huo na kuanza kuimba, rapper Bonta Maarifa ameachia wimbo wake ‘Mapenzi Matamu’ ambao umekuwa tofauti na matarajio ya wengi.

Ngoma hii ngumu na nyeusi inarudisha ladha zile zile za rapper huyo mwanaharakati. Isikilize au kudownload hapo juu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents