Burudani
New Video: Barakah Da Prince – Siachani Nawe
Video mpya ya wimbo wa Barakah Da Prince ‘Siachani Nawe’ iliyoongozwa na Khalfan. Ngoma imetayarishwa kwa ushirikiano wa watayarishaji watatu, Nasder, Lollipop na Kidboy.
https://www.youtube.com/watch?v=zcgv3_unXYw