Videos

New Video: Bob Junior – Give Me

Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu katika muziki wa Bongo Flava, hatimaye Bob Junior amerudi rasmi katika game na ameachiaa video yake mpya ya ‘Give Me’ iliyotengenezwa katika studio za Sharobaro Record huku video ya ngoma hiyo ikiongozwa na Bob Chris Raheem.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents