Burudani
Next level ya Adam Juma kusaka vipaji vya waigizaji na models Jumamosi hii (October 4)
Kampuni ya Next Level inayomilikiwa na muongozaji wa video wa Tanzania, Adam Juma imeamua kutafuta vipaji vipya vilivyoko mitaani, kwa kuandaa shindano la kusaka vipaji litakalofanyika Jumamosi hii October 4 pale Mzalendo Pub.
Vipaji vinavyotafutwa ni pamoja na models, waigizaji pamoja na watangazaji wa TV.