Burudani

Nuh Mziwanda amchimba ‘mkwara’ Idris Sultan aache kumsumbua Shilole!

Picha limeanzia kwenye post ya Instagram ya mshindi wa Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan ambayo aliweka picha ya girlfriend wake Samantha wa Afrika Kusini.

Nuh na Idris

Miongoni mwa watu walio comment kwenye picha hiyo ni pamoja na mmiliki wa ‘moyo’ wa Shishi Baby, Nuh Mziwanda ambaye alimchimba ‘biti’ Idris, akidai kuwa amekuwa akimsumbua mpenzi wake Shilole kwa kumtumia ujumbe ambao hapendezwi nao.

“Nikianza kumsumbua demu wako, kaam unavyomsumbua wangu utafurahi, nimekuvumilia sana bro, sasa imekuwa too much, tuheshimiane @idrissultan msg zako sijazipenda.”

nuh mkwara

Hata hivyo Idris aliifuta comment hiyo ya Mziwanda ambayo tayari baadhi ya watu walikuwa wamei screenshot ikiwa ni pamoja na @usipojipangantakupanga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents