Michezo

Ole Gunnar sio wa leo wala wa kesho, bodi ya Man United inamuunga mkono

Manchester United imezungumza na kocha wa zamani wa Tottenham Mauricio Pochettino kuhusu kuchukua nafasi ya Ole Gunnar Solskjaer. (MEN)

Nafasi ya Solskjaer iko katika hatihati baada ya vipigo vya mfululizo na anaweza kufukuzwa ikiwa United itapoteza kwa Everton siku ya Jumamosi. (Star)

Kocha wa Manchester United anapata uungwaji mkono wa bodi nab ado anatazamwa kama mtu mwenye ajira ya muda mrefu Old Trafford. (Sky Sports)

harry

Mmiliki wa Tottenham Daniel Levy ametoa ofa kwa mshambuliaji Son Heung-min, 28, ya mshahara sawa na nahodha Harry Kane likiwa ni jaribio la kuhakikisha kuwa mchezaji huyo wa Korea Kusini anasalia katika klabu hiyo. (Express)

Klabu kubwa za Ulaya zikiwemo Manchester City, Barcelona na Juventus, zinamfuatilia washambuliaji wa Borussia Monchengladbach Marcus Thuram,23 na Alassane Plea,27 (Bild-in German)

Real Madrid huenda wakamsajili kiungo wa kati, Mfaransa Paul Pogba,27, kutoka Manchester United kwa kitita cha pauni milioni 54 msimu ujao. (AS)

mmm

Arsenal wanajiandaa kujadili kuhusu kuongeza mkataba wa kiungo wa kati wa Misri Mohamed Elneny,28, aliyewavutia tangu mwanzo wa msimu. (Mail)

Klabu ya Bundesliga, Schalke inaweza kuridhia kumruhusu beki wa kati Mturuki Ozan Kabak,20 , kuondoka kwa pauni milioni 18 mwezi Januari. Hata hivyo mabingwa wa England, Liverpool wanamuhitaji mchezaji mwenzake, Mfini, Malick Thiaw, 19. (Bild-in German)

n

Pamoja na kuanza vizuri Anfield,23, mshambuliaji Mreno, Diogo Jota alikuwa mbadala kwenye dirisha la usajili, badala ya winga wa Watford, Msenegali Ismaila Sarr,22. (Mirror)

Kocha wa Middlesbrough Neil Warnock anafikiria uwezekano wa kuwanasa wachezaji wawili mwezi Januari , kiungo wa kati wa Poland anayekipiga West Brom Kamil Grosicki,32, na raia wa DRC anayeichezea Everton Yannick Bolasie,31. (Northern Echo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents