Burudani

ONYO 18+: Vera Sidika amvua nguo Ex-wake Otile Brown ‘hujui mapenzi, ulikuwa unaweka bila kunitomasa’

Mwanamitindo Vera Sidika ameendelea kurusha makombora kwa aliyekuwa mchumba wake, Otile Brown na awamu hii amesema kuwa Otile hajui mapenzi kwani alikuwa hamkuni kisawa sawa.

Vera Sidika

Vera kupitia Insta Story yake aliyoiweka leo kwenye mtandao pendwa wa Instagram, ameweka rundo la Screenshots zikionesha akimlalakia Otile kipindi wapo kwenye mahusiano kuwa aongeze maujuzi kwa kumshika shika kwenye kifua, Kumlamba shingoni na maeneo nyeti.

Nakwambia sipendi kufanya mapenzi mara kwa mara, mimi napendelea Romance unitomase kifuani na kuninyonya shingoni na sehemu nyeti. Kiukweli napenda romance kuliko kufanya mapenzi mara kwa mara kwani nakosa hisia unaniumiza, unaponiingilia bila kuniandaa“haya ni baadhi ya maelezo ya moja ya Screenshots alizoweka Vera Sidika akichati na Otile Brown kipindi wakiwa wapenzi.

Vera kwenye screenshot hizo, kuna sehemu anamwambia Otile kuwa, yeye huwa haangalii ukubwa wa maumbile ya mwanaume bali anaangalia performance kitandani, kwani kuna watu wamejaliwa maumbile makubwa ila kitandani Zero.

Hata hivyo, Otile Brown kupitia majibizano hayo alimuuliza Vera kama amepata Bwana mwingine afute meseji zote alizomtumia, akilalamika kuhusu matatizo hayo, lakini Vera alikataa kufanya hivyo akidai kuwa hana mume.

Otile pia kwenye baadhi ya screenshot hizo, alimtaka Vera aache mchezo wa kujichua na angemfanyia vitu hivyo anavyovihitaji kwenye mapenzi.

Hii ni mara ya tatu Vera Sidika kurusha madongo kwa Otile Brown, hata hivyo Otile hajajibu pigo lolote juu ya posti hizo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents