Burudani

Orodha ya nyimbo za album nyingine ya siri ya Beyonce yavuja mtandaoni!

Picha iliyosambaa mwishoni mwa wiki iliyopita inayoonesha kama uthibitisho wa kuachiwa kwa album nyingine ya siri ya Beyonce, Beyoncé Volume 2.

a_560x0

Hizi ndizo nyimbo zitakazopatikana kwenye album hiyo ambazo hata hivyo baada ya kuvuja hii hatudhani kama Beyonce ataendelea na mpango huo.

Sweet Illusion
DONK, featuring Nicki Minaj
Good in Good Bye
Loyal
Renouncement, featuring Justin Timberlake
Sensation of Pain
Fashion
KO
True
Cherry, featuring Rihanna
Flawless (Remix), featuring Nicki Minaj

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents