MichezoVideos

Pablo akoshwa na kikosi chake kabla kuwavaa Red Arrows kwa Mkapa (+Video)

Kocha mpya wa @simbasctanzania Mhispani Pablo Franco amekoshwa na kikosi chake kwa namna kinavyozidi kuimarika kila siku huku akikiri kuwa wachezaji wake wanatambua kuwa mchezo huo ni nafasi yao ya mwisho kushirki Michuano ya CAF baada ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika hivyo kuna kilahaja ya kupambana.

Kwa upande mwingine kocha huyo wazamani wa Real Madrid amesema kuwa atakuwa anafanya mabadiliko ya wachezaji katika kila mchezo ili kupata.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents