Michezo
Patrice Evra atua katika ligi ya Ufaransa
Beki wa zamani wa klabu ya Man United Patrice Evra,35, hatimaye ameondoka kunako klabu ya Juventus na kusajiliwa na klabu ya Olympique Marseille ya Ligue 1 ya Ufaransa, kwa mkataba wa miezi 18.