Promotion
Photos: Party ya kumpongeza AY kwa kutwaa tuzo ya Channel O
Usiku wa kuamkia leo kulikuwa kumeandaliwa party maalum kabisa ya kumpongeza msanii AY kwa kutwaa tuzo ya Most Gifted African East Video of the Year kupitia video ya wimbo I don’t want to be alone.
Party hiyo iliandaliwa Nyumbani Lounge na Airtel Tanzania kama sehemu ya kuonyesha heshima kwa balozi wao.
Bongo5 ilikuwepo katika party hiyo na sasa tunakuletea picha uone.