Videos

Picha: Bonang Matheba apigwa picha kwa style ya ‘The Matrix’ camera 40 zatumika kumchukua kwa pamoja

Bonang Matheba ni Malkia wa TV nchini Afrika Kusini. Ni mtangazaji wa TV na host wa show na events kubwa zaidi nchini humo.

b677926e1d1a11e3877022000a9f1278_7

Leo mrembo huyo ameshiriki kwenye photoshoot iliyotumia technique ya filamu ya The Matrix iitwayo ‘Bullet Time’ ambapo camera 40 zilizozungushwa kwa umbo la duara zimetumika kumpiga picha ili kupata picha moja yenye angle 40 tofauti na kutengeneza muonekano wa picha yenye mzunguko wa nyuzi 180.

769b13fc1d0411e3a49122000a1fc402_7
Camera 40 za aina moja zote zilitumika kuchukua picha moja kwa wakati mmoja

8b553dbe1d0d11e3b9fd22000a1fbc16_7
Bonang akipose mbele ya camera 40

8be2673e1d1c11e3a2ad22000a9e17ad_7

Tazama jinsi Bullet Time ilivyotumika kwenye The Matrix pale Neo alipokwepa risasi.

http://www.youtube.com/watch?v=KNrSNcaYiZg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents