Burudani

Picha: Davido na Tiwa Savage wafanyiwa mahojiano na TV ya Diddy, Revolt TV.

Mshindi wa tuzo ya BET 2014 ‘Best International Act: Africa’ Davido pamoja na aliyekuwa nominee mwenzake katika kipengele alicho shinda, Tiwa Savage jana (June 30) walipata nafasi ya kuhojiwa na Revolt TV ya Marekani, inayomilikiwa na rapper na mfanya biashara Sean “Diddy” Combs.

Davido Revolt
Davido

Msanii mwingine aliyepata shavu hilo ni rapper wa Chocolate City, Ice Prince pia kutoka Nigeria.

Tiwa Revolt
Tiwa Savage

Ice Revolt
Ice Prince

Fursa kama hizi kwa wasanii wa Afrika kupata nafasi ya kutambuliwa na vituo vikubwa vya kimataifa ni hatua muhimu na ya mafanikio kwa wasanii wa Kiafrika.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents