Burudani

Picha: Dayna Nyange ndani ya mwonekano wa kimahaba

Malkia wa muziki, Dayna Nyange ameamua kuwaonyesha mashabiki wake laki moja na ishirini wa instagram mwonekano wake wa kimahaba.
dayna

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Komela’ akiwa na Billnas, Jumanne hii amewatoa udenda mashabiki wake kwa picha hizo za kuvutia.

Huwenda yakawa ni maandalizi na video mpya, lakini mwanadada huyo hakuweka wazi ni nini kinakuja kutoka kwake. Angalia picha.

sasc

ss

xx

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents