Burudani

Picha: Dk Magufuli afanya ziara ya kushtukuza kwenye wizara ya fedha na kukuta maofisa wengi ‘wamekacha’ kazini

Siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa tano wa Tanzania, Dokta John Magufuli ameanza kuifanyia kazi kauli mbiu yake ya ‘Hapa Kazi Tu’, kwa kufanya ziara ya kushtukiza kwenye wizara ya fedha Ijumaa hii.

12063128_1643793222525539_937422512_n

Rais huyo amedaiwa kutembea kwa mguu kutoka ikulu hadi kwenye ofisi za wizara hiyo jijini Dar es Salaam.

10299753_459716437546849_1576084077_n

Hata hivyo kwakuwa hiyo ilikuwa ni ziara ya kushtukiza, maofisa wengi walikuwa nje ya ofisi wakipiga mishe mishe zingine.

20151106033935

Akiwa kwenye wizara hiyo, Dk Magufuli amekagua ofisi zote na kuzungumza na wafanyakazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents