Burudani

Katy Perry aongoza orodha ya ‘Forbes Highest Paid Women In Music 2015’

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wanawake wanaoongoza kwa kuingiza pesa nyingi zaidi kwenye muziki kwa mwaka 2015 (Forbes Highest Paid Women In Music 2015).

Katy

Katy Perry ndiye mwanamke anayeongoza kwa kulipwa pesa nyingi zaidi duniani kwenye muziki kwa mwaka huu, kwa mujibu wa orodha hiyo. Perry amekamata nafasi ya kwanza kwa kuingiza $135 million kwa kipindi cha mwka ammoja kuanzia June 1, 2014, hadi June 1, 2015.

Nafasi ya pili imeshikiliwa na Taylor Swift ambaye ameingiza $80 Million.

Hii ni orodha kamili ya Top 10

1. Katy Perry $135 Million
2. Taylor Swift $80 Million
3. Fleetwood Mac $59 Million
4. Lady Gaga $59
5. Beyonce $54.5 Million
6.Britney Spears $31 million
7. Jennifer Lopez $28.5 million
8. Miranda Lambert $28.5M
9.Mariah Carey $27 million
10.Rihanna $26 million

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents