Burudani

Picha: Iggy Azalea na French Montana hakuna siri tena

Iggy Azalea na French Montana ni wapenzi – hakuna siri tena.

37B02D2300000578-0-image-a-90_1472493488120

Hivi karibuni kuliibuka tetesi za wawili hao kuwa na mahusiano baada ya picha zilizosambaa mitandaoni zikiwaonyesha wakiwa kwenye ndege binafsi wakielekea maeneo ya Cabo San Lucas nchini Mexico.

Kwa mujibu wa taarifa ya TMZ, Montana alitumia kiasi cha $60,000 kukodi ndege hiyo kwenda kwenye maeneo hayo kula bata akiwa na rafiki zake pamoja na mrembo, Iggy.

Iggy

Hata hivyo wawili hao wameingia kwenye mahusiano hayo kila mmoja akiwa hana mtu kwa kuwa Iggy alishaachana na aliyekuwa mpenzi Nick Young miezi miwili iliyopita huku Montana alishaachana na Khloe Kardashian muda mrefu. Tazama picha zaidi hapa chini.

37B0936300000578-3763940-image-a-123_1472495576577

37B034F500000578-3763940-image-a-100_1472494001545

french-montana-iggy-azalea-boat

37B0338600000578-3763940-image-a-142_1472496045636

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents