Burudani
Mchekeshaji mkongwe Gene Wilder afariki
Mcheza filamu za vichekesho wa nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83.
Wilder amekua akiugua ugonjwa kwa kukosa fahamu.
Aliwahi kucheza filamu maarufu ya , ‘Willy Wonka-The Chocolate Factory’.
CNN imeandaa baadhi ya matukio ya kukumbukwa ya staa huyo wa vichekesho.
https://youtu.be/391w785V–8