Burudani

Picha: Kundi la Best Life Music (Burundi), lashoot video ya wimbo wake na muongozaji wa Rwanda baada ya Hanscana kuwa ‘busy’

Kundi la muziki la nchini Burundi liitwalo Best Life Music, limelazimika kufanya video na muongozaji wa video wa nchini Rwanda, Meddy baada ya Hanscana waliyemtaka awali afanye video hiyo kubanwa na majukumu mengine.

Best Life Music - Better Than (Photo)

Meneja wa kundi hilo Kent-P, ameiambia Bongo5 kuwa baada ya wimbo ‘Better Than’ kupata nafasi Tanzania na katika nchi za Ivory Coast, Nigeria na Rwanda walitaka kufanya video na Hanscana wanayekubali kazi yake.

Best Life Music - Better Than (Photo) with Meddy Saleh
Muongozaji Meddy Saleh akitoa maelekezo

“Hanscana was not available for us, there was buzz in these projects, that’s why we went to Rwanda to work with Meddy Saleh (Press It!) who made the latest video of Pallaso “on Fire” and Peke Yangu of Knowless in Zanzibar,” amesema Kent.

Best Life Music - Better Than (Photo) Young Dany in Scene
Muimbaji wa BLM, Young Dany kwenye scene

“The video of “Better Than” was filmed in Bujumbura, Burundi on 24, September.”

Best Life Music - Better Than (MC Vitaa) (Photo)
MC Vitaa

Best Life Music - Better Than (Photo) Young Dany Lo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents