Picha

Picha: Mafundi wa Pimp My Ride waunda gari ya Will.i.am kwa tshs bilioni 1.4

Producer, rapper na muimbaji wa kundi The Black Eyed Peas, Will.i.am jana aliwafanya watu waliokuwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Los Angeles, Marekani kuishangaa gari yake custom made, rangi ya blue na yenye thamani ya $900,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.4 za Tanzania.

article-0-196FF6D2000005DC-865_634x423

Gari hiyo inayovutia kuitazama iliundwa kipande kwa kipande na kung’arishwa na mafundi wa West Coast Customs, maarufu sana kwenye kipindi cha Pimp My ride cha MTV.

article-0-197040DC000005DC-53_634x347

Msanii huyo anajulikana kwa kuwa mpenzi wa magari unique huku akiwa na gari nyingine yenye thamani ya $700,000.

article-0-196FF7DA000005DC-684_634x269

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents