Picha

Picha: Mamia kwa maelfu wajitokeza kuupokea mwili wa Albert Mangwea, vijana wasikika wakiimba kulitaja jina lake

Mamia ya wakazi wa Dar es Salaam wakiwemo wasanii wa muziki na filamu nchini leo wamejitokeza kuupokea mwili wa marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere uliowasili kutoka nchini Afrika Kusini.

DSC00241

DSC00243
Wasanii Dollo na KR Mulla

Bongo5 imeshuhudia umati mkubwa wa mashabiki wa Mangwea aliyefariki wiki iliyopita nchini humo uliokuwa na hamu kubwa ya kushuhudia jeneza lililokuwa na mwili wake.

Baadhi ya vijana waliokuwa wakiiimba kwa sauti waliizingira gari iliyokuwa na mwili na kutaka walibebe jeneza kwa mkono na hivyo kuufanya msafara uliokuwa ukielekea kwenye hospitali ya Muhimbili usimame kwa muda bila kusogea.

DSC00246
Umati wa watu ukisubiri kuona gari lililobeba mwili wa Mangwea

DSC00247

DSC00248

DSC00249

DSC00250

DSC00251

DSC00255
Vijana wakiimba nyimbo za kuomboleza

DSC00256

Vijana hao ambao wengine walionekana wakilia kwa uchungu wamesikika wakiimba ‘Tumshushe, Tumbebe’.

Hali hiyo imepelekea kuzuka kwa vurugu iliyowapa wakati mgumu polisi waliosambazwa kuangalia hali ya usalama.

Wasanii mbalimbali wameonekana wakipokezana kubeba msalaba kuliongoza gari lililobeba mwili baada ya wananchi kuwataka washuke kwenye magari.

Mtangazaji wa Times FM, JABIR SALEH Ametweet: P funk ameamua kukimbia na kutembea na wana ili folen iende!!!much lov kwa p anakimbia hadi anatia huruma!”

DSC00258

DSC00259

DSC00260

DSC00261

DSC00262

DSC00263

IMG_1498

IMG_1499
Umati mkubwa kwenye uwanja wa ndege

IMG_1501

IMG_1502
Mkoloni na Profesa Ludigo

IMG_1503
Fid Q alikuwa mmoja ya wasanii waliojitokeza

IMG_1504
Hafsa Kazinja na Quick Rocka wakiwa na simanzi

IMG_1505
Chege

IMG_1506

IMG_1507
Abdul Kiba, Hafsa Kazinja na Sauda Mwilima

IMG_1508
Izzo B akiwe mwenye majonzi makubwa

IMG_1509
Mrisho Mpoto

IMG_1510
Young Killa

IMG_1511
Mwili wa Mangwea ukiwa umebebwa

IMG_1512

IMG_1513

IMG_1514

IMG_1517

IMG_1524

IMG_1525

IMG_1529

IMG_1530
Shabiki wa Mangwea akilia kwa uchungu

IMG_1531

IMG_1533
Ni majonzi tu

IMG_1534

IMG_1536
Dr Cheni

Picha zaidi zinafuata.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents