Picha

Picha: Mashindano ya Foosball Copa Capabana, Dar es Salaam

Cpwaa, Millard Ayo, Jasper na Andrew Mahiga wakicheza mchezo wa foosball ambayo imedhaminiwa na Heineken ndani ya baa ya Copa Cabana jijini Dar es Salaam

Junious Mbaga na Donald Joseph wa Timu Airtel (kulia) wakishikana mkono na Timu Chelsea ambao ni Yahya Yasini na Barnaba Muhina ( kushoto)

Andrew Mahiga, Millard Ayo na Cpwaa wakishikana mikono baada ya kucheza michezo ya foosball ikidhaminiwa na Heineken.

Cpwaa, Andrew Mahiga na Jasper ndani ya Copa Cabana wakiwa katikati ya mchezo wa foosball ikidhaminiwa na Heineken.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents