Picha

Picha: Moto mkubwa wateketeza vibanda kwenye stendi ya Mwenge, Dar es Salaam

IMG_3867 (640x427)

Leo kumetokea moto ulioteketeza vibanda kadhaa vya biashara katika stendi ya Mwenge jijini Dar es Salaam.

Akiongea na waandishi wa habari, Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi wa Kinondoni Charles Kenyela amesema moto huo umeteketeza frame kadhaa husasan mbili lakini umedhibitiwa na kikosi cha zimamoto, wananchi na jeshi na polisi.

“Mali nyingi zimeokelewa lakini kwasababu ya hali halisi zingine zimeharibika sababu ya muda na ile kadhia ya kukanyagana wale waliokuwa wanaokoa hawajafanikiwa kuokoa vyote, “ alisema.

“Hakuna madhara kwa binadamu na tunashukuru kwamba moto umetokea mchana lakini vinginevyo kama ingekuwa ni wakati wa usiku hali ingekuwa mbaya sana.”

Chanzo cha moto huo kinadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme.

Wafanyabiashara wakishughulika baada ya moto
Wafanyabiashara wakishughulika baada ya moto
Bidhaa zikiwa zimeokolewa
Bidhaa zikiwa zimeokolewa

IMG_3876 (640x427)

IMG_3875 (640x427)

Miongoni mwa maduka yaliypsalimika
Miongoni mwa maduka yaliypsalimika
Kamanda Kenyela akiwa eneo la tukio
Kamanda Kenyela akiwa eneo la tukio

IMG_3868 (640x427)

IMG_3869 (640x427)

Wafanyabiashara wakikagua biadhaa zilizosalimika
Wafanyabiashara wakikagua biadhaa zilizosalimika

IMG_3872 (427x640)

Baadhi ya vitu vilivyoungua
Baadhi ya vitu vilivyoungua
Jinsi moto ulivyoteketeza frame
Jinsi moto ulivyoteketeza frame

IMG_3853 (427x640)

IMG_3852 (427x640)

IMG_3850 (640x427) - Copy

IMG_3849 (427x640)

IMG_3847 (640x427) - Copy

IMG_3844 (427x640) - Copy

IMG_3843 (640x427)

IMG_3840 (640x427) - Copy

IMG_3838 (640x427)

Gari la zimamoto
Gari la zimamoto

IMG_3832 (640x427)

IMG_3831 (640x427)

Ambulance ikiwa kwenye eneo la tukio
Ambulance ikiwa kwenye eneo la tukio

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents