Promotion

Picha: NMB yashiriki futari na wateja wake

Benki ya NMB Mwishoni mwa wiki ilishiriki futari na wateja wake mjini Zanzibar. Hii ni katika kuendeleza mahusiano mazuri ambayo yamekwisha jengeka baina ya wateja wa NMB na benki hiyo.

1a
Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd akishukuru uongozi wa NMB kwa kuandaa wasaa mzuri na kushiriki katika kukamilisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Hii ilikua katika futari iliyoandaliwa na
Benki ya NMB tawi la Zanzibar kwenye hoteli ya Zanzibar Ocean view Zanzibar mwishon mwa wiki

2
Maofisa wa NMB wakiwa wameambatana kuingia ukumbini na mgeni rasmi(katikati) katika hafla hii ya kushiriki futari na wateja wa NMB mjini Zanzibar

_3
Mkuu wa kitengo cha akaunti binafsi wa NMB, Abdulmagid Nsekela akiongoza wageni waalikwa katika kupata futari
MAOFISA
Meneja Mawasiliano NMB, Josephine Kulwa nae hakubakia nyuma kushiriki wasa mzuri na wateja wa NMB

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents