Burudani

Picha: Orodha ya wasanii waliofunga ndoa yazidi kuongezeka

Msanii wa Bongo Flava na Mtangazaji wa Clouds Tv, Babuu wa kitaa ameingia rasmi kwenye orodha ya wasanii/watu maarufu waliofunga ndoa mwaka huu.

Shughuli hiyo iliyofanyika siku ya jana ilihudhuriwa na watu wake wa karibu wakiwemo watangazaji wenzake wa kituo hicho. Kwa mwaka huu pekee tumeshudia ndoa ya Madam Frora, Mx Carter, Producer Dx na Professor Jay.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents