Burudani

Picha: Peter wa P Square alivyo kutana na wachezaji wa Chelsea

Mwanamuzi wa kundi la P Square kutoka Nigeria, Peter ni shabiki mkubwa wa club ya Chelsea kipindi cha nyuma aliwahi kuwa kwenye academy moja na John Mikel Obi miaka 20 iliyopita wakiwa na ndoto za kucheza soka siku moja.

1

Peter wikiend hii alisafiri hadi England kwenda kuangalia mechi ya Chelsea Vs United , Baada ya mechi alitumia muda wake kupiga picha na kukutana na mastaa mbalimbali wa Chelsea.

2

Kuna taarifa kwamba Peter anataka kufungua kampuni kwa ajili ya kusimamia wachezaji soka. Peter ame-tease habari hiyo kwa kutumia hashtags za kwenye post yake ambapo ameitaja kampuni hiyo kwa jina na P Classic Football Management (PCFM)

3

5

6

7

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents