HabariUncategorized
Picha : Rais Magufuli afanya mkutano na Kenyatta na Salva Kiir wa Sudan ya Kusini
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa mjini Kampala ambapo alihudhuria Mkutano Maalum wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), leo (Ijumaa) amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta pamoja na Rais wa Sudan ya Kusini, Salva Kiir.
Rais Magufuli akiwa na Uhuru Kenyatta katika mkutano wao waliofanya mjini Kampala
Rais Magufuli ameonekana akiwa mwenye furaha kubwa kwenye picha mabazo amepiga akiwa na marais hao kwa wakati tofauti tofauti. Hizi ni picha zaidi za marais hao.
Rais Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Sudan ya Kusini, Salva Kiir
Picha na Michuzi