Michezo
Picha: Rihanna, Kendall Jenner na Gigi Hadid washuhudia mechi ya PSG vs Marseille
Warembo wa Marekani, Rihanna, Kendall Jenner na Gigi Hadid jana walimshuhudia mchezaji Zlatan Ibrahimovic akiwa mfungaji wa magoli mengi zaidi wa muda wote wa Paris Saint-Germain baada ya kupachika mabao 2-1 dhidi ya mahasimu wao Marseille kwenye mchezo wa Ligue 1.
Warembo Kendall Jenner na Gigi Hadid wakishuhudia mechi hiyo
Akiwa na magoli 110 aliyofunga akiwa na PSG kwenye mechi zote, Ibrahimovic ameivunja rekodi ya Pedro Pauleta ya magoli ya 109.
Rihanna alikuwa mmoja wa mchezo huo
Mshambuliaji raia wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic amekuwa mfunga wa mabao mengi zaidi wa PSG. Jana alifunga mabao 2
Beki wa PSG David Luiz (kulia) akisherehekea na mlinda mlango Kevin Trapp baada ya kuudaka mkwaju katika mechi dhidi ya Marseille