Picha

Picha: Umaarufu wa Big Brother huwezesha michongo kama hii ya Beverly na Melvin wa Nigeria

Pamoja na kwamba $300,000 za ‘Biggie’ zilienda kwa mshindi mmoja tu Dillish Mathews wa Namibia, lakini mtaji mkubwa walioondoka nao washiriki wengine ni umaarufu wa karibia Afrika nzima walioupata miezi mitatu waliyokaa mjengoni, unaowasaidia kupata michongo mbalimbali ya kuwaletea mkwanja.

beverly

Washiriki wa Nigeria katika BBA ya mwaka huu Beverly (mpenzi wa Angelo) pamoja na Melvin walioingia hadi top 5 za BBA ‘The Chase’ wamepata nafasi ya kutokea katika kurasa za mbele za jarida la mitindo ‘Complete Fashion Magazine’ la Nigeria.

melvin

Photos: 360 Nobs

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents