Habari
Picha: Utoaji tuzo za Under-30 Youth
January Makamba akimkabidhi tuzo Adam Anthony
Marafiki wa Adam wakiwa jukwaani kumpongeza
Dancers wakitumbuiza
Miss East Africa, Jocelyne Maro akitangaza mshindi
Jokate Mwegelo akiongea baada ya kutajwa mshindi wa kipengele cha fashion