Burudani

Picha: Uzinduzi wa filamu ya ‘A Wrinkle in Time’ ulivyofanyika, Oprah na Kobe Bryant wahudhuria

Usiku wa jana umefanyika uzinduzi wa filamu ya ‘A Wrinkle in Time’ ambayo imeongozwa na Ava DuVernay. Filamu hiyo ambayo imetengenezwa na kampuni ya Walt Disney Pictures, inatarajiwa kuachiwa rasmi March 9, 2018.


Picha ya watu waliohusika kutengeneza filamu hiyo

Filamu hiyo mwanzoni ilipangwa kutoka Aprili 6, 2018. Baadhi ya watu waliohudhuria kwenye uzinduzi huo ni Oprah Winfrey, Kobe Bryant, Paco Delgado, Bellamy Young na wengine. Hapa chini ni baadhi ya picha za watu waliohudhuria kwenye uzinduzi huo.


Picha ya Ava DuVernay ambaye ni director wa filamu hiyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents