Habari

Kauli ya Mbowe tangu uchaguzi wa Kinondoni na Siha ufanyike (+video)

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa CHADEMA, Freeman Aikael Mbowe amezungumza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa marudio ufanyike katika Jimbo la Kinondoni na Siha, pamoja na hayo amezungumzia mambo mengine mengi sana kuhusu chama hicho. Sikiliza video hii akieleza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents