Habari

Picha: Wasichana waliokuwa wametekwa na Boko Haram wakutana na familia zao

Baadhi ya wasichana takriban 250 wa Nigeria waliokuwa wametekwa na wapiganaji wa kundi la Boko Haram, April mwaka 2014, wameachiwa huru.

3970507600000578-3841968-image-a-118_1476704743254

Alhamis ya October 13, serikali ya Nigeria ilitoa taarifa za kuachiwa kwa baadhi ya wasichana hao na kurejeshwa nyumbani baada ya mazungumzo kati ya viongozi wa serikali na Boko Haram.

October 17, wasichana 21 wa Chibok walikutana na familia zao kwa mara ya kwanza baada ya miaka kibao. Hizi ni baadhi ya picha.

39704b5300000578-3841968-image-m-109_1476704066120

3970556e00000578-3841968-image-a-119_1476704784381

boko-haramu

boko-haramu2

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents