Habari

Picha: Waziri Mkuu aongoza kuuaga mwili wa Mbunge Hafidh Ally Tahir

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza wabunge kuuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Dimani, Zanzibar Mheshimiwa Hafidh Ally Tahir.

rg1a2121-702x336

Akizungumza katika tukio hilo, Waziri Mkuu ametoa pole kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai, familia ya marehemu na wabunge wote. “Tumepokea taarifa za msiba huu kwa mshtuko mkubwa. Leo tupo katika wakati mgumu sana. Tumeondokewa na viongozi wengi,” amesema Majaliwa.

Hizi ni baadhi ya picha:

rg1a2114

rg1a2081

rg1a2118

rg1a2138

BY: EMMY MWAIPOPO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents