Michezo

Hector Bellerin atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 3 hadi 4

Mchezaji wa klabu ya Arsenal, Hector Bellerin atakaa nje ya uwanja kwa muda wa wiki 3 hadi 4 kufuatia kusumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Spurs jumapili ya wiki iliyo pita.

3a1ddb0f00000578-0-image-a-31_1478711161152

Hector ambaye alikuwa katika timu ya Taifa ya Hispania chini ya miaka 21, alilazimika kujitoa ili kufanyiwa vipimo na timu ya madaktari wa Arsenal.

Hivyo Bellerin atakosa mechi zote za mwezi Novemba zikiwemo zile dhidi ya Man United pamoja na Psg katika klabu bingwa Ulaya.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents