Michezo

Picha: Yanga SC ilivyowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere ikitokea Shelisheli

Kikosi cha klabu ya Yanga hapo jana usiku majira ya saa 4 kiliwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere kikitokea Shelisheli katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

Yanga SC imefanikiwa kusonga mbele katika michuano hiyo baada ya kuifunga timu ya St Louis kwa jumla ya magoli 2 – 1.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents