Tia Kitu. Pata Vituuz!

Prophet Siamon “Walioileta Corona hawakukusudia ifike Tanzania, Mungu hakuileta bali shetani kiroho haipo tena” – Video

Prophet Siamon "Walioileta Corona hawakukusudia ifike Tanzania, Mungu hakuileta bali shetani kiroho haipo tena" - Video

Siku ya jana Prophet Simon alieleza kiroho kuwa Virusi vya Corona ambavyo vimeonekana kuwa tishio Duniani na kupelekea baadhi ya mataifa kufunga mipaka yao na kutoruhusu watu kufanya safari zao pia wengine wakifungiwa majumbani mwao bila kisa Corona.


Prophet ameeleza kuwa katika Imani ya Kiroho Corona imeshaisha, Mbali na hilo Prophet ameongeza kuwa Corona haikuletwa kwa ajili ya Tanzania bali Watanzania wanapata Corona kwa sababu ya Hofu zao.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW