Burudani

Q Chief kuachia wimbo mpya baada ya uchaguzi, unaitwa ‘Chawa’

Q-Chief amejipanga vizuri kuumaliza vizuri mwaka wa 2015 ambao umeonekana kuwa mwaka mzuri kwa upande wake, akiwa amefanikiwa kuachia video mbili kali alizoshoot Afrika Kusini na muongozaji wa Tanzania, Adam Juma.

chief

Katika kuumaliza mwaka Q-Chief amesema amejipanga kuachia wimbo mpya mwezi Novemba mara tu baada ya uchaguzi, na ameutaja wimbo anaotarajia kuja nao unaitwa ‘Chawa’.

“Nategemea mwezi wa 11 baada ya uchaguzi turelease ngoma hii, ni ngoma kubwa ni ngoma yenye impact, inachelewa kutokana na uchaguzi…kwahiyo Octoba 25 ikipita fans watarajie mapinduzi mengine kabisa kutoka kwa Q-Chief.” Aliiambia E-Newz ya EATV.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents