Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Kikao hicho kinafanyika leo, Jumatatu Januari 15, 2024 Unguja, Zanzibar.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachofanyika leo, Jumatatu Januari 15, 2024 Unguja, Zanzibar.