Siasa
Rais Samia awaonya Panya Road
”Kumeanza kujitokeza vitendo vya uhalifu vinavyotishia usalama wa wananchi pamoja na mali zao, kuna vijana wanaojiita Panya Road wanavamia, kujeruhi na kupora, nawaonya waache mara moja kwa sababu wanapohatarisha maisha ya wananchi wanajihatarishia maisha yao pia,”- Rais Samia