Siasa

Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Uganda kwa mwaliko wa Rais Museveni

Rais wa Jamuhuria ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini Uganda kuanzia leo May 10-May 11 kwa mwaliko wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, hii itakuwa ni ziara ya kwanza ya Kiserikali kufanywa na Rais Samia tangu Serikali ya awamu ya 6 iingie madarakani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents