Siasa
Rais Samia Suluhu alivyohutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN (+Video)
Sehemu ya Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia kwa mara ya kwanza Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani leo tarehe 23 Septemba, 2021.